Mwizi alipotaka kumuibia mwizi mwenzake ndicho kilichotokea huko China

Yaani wamarekani wakatumie simu za mchina!? Hata sisi watanzania huwezi ukatamba na simu ya mchina, ukaonekana wa maana.
 
I think you ought to mean out of subject.
Jaribuni kutumia lugha mnayoielewa vizuri kuliko kurukia lugha zingine msizozielewa vema, nafikiri itafaa zaidi.
... usihamishe kutokuelewa kwako kwa wengine! ... out of context maana yake ni 'nje ya mada', ACHA ujuaji usio na tija!
 
Tangu nizaliwe sijawahi kuwa mwanachama wa ccm, japo kipindi cha Magufuli nilinusurika kuwa na kadi ya chama.
Uraisi na idara sio sehemu ya mama yako mzazi ulipotokea .Ndio maana kombora au mashambulizi yanaweza kupatikana.
Hivi ulisoma au ulifundishwa na UVCCM.Jifunze dunia ya sasa
U
 
Taarifa imekuja tofauti sana walikubaliana ujumbe wote pamoja na Trump hawataingia na kifaa chochote China bali watapewa simu ambazo watazitumia hapo na wakimaliza watazitupa kabla ya kuondoka..
Wenzetu mambo ya simu kuona mtu anatakiwa apewe kama zawadi walishatoka huko aisee..
Naona baadhi ya vyakula vimetudumaza sana bongo zetu aisee watu hawawazi mara mbili mbili Trump apewe zawadi ya Huawei sio..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…