Mwizi ataka na kusisitiza awekwe Korokoni sababu hana imani na atakachofanywa na aliyemwibia

Najua hii ni story ila ngoja niwape kisa cha kweli.

Mzee mmoja alistaafu ualimu mwaka 2013 pale Dodoma, badala ya kwenda kwao Tabora akaanza kutumbua pesa pale town.

Wahuni wakamlia timing wakamteka wakampangia chumba kila siku usiku mkali wanaenda nae ATM wanavuta 1.5M wanamrudisha rum chini ya ulinzi mkali alikuwa anaingia mwenyewe wanamaubiri kwa nje hadi zikakata wakamuachia..

Alikuwa fala maana angekosea namba mara3 kadi ingemezwa. Nahisi walitishia kumuua
 
Kwanini wasingekuwa wanaenda kutoa wenyewe hizo pesa hadi waende nae? Labda sababu ya camera kwenye ATM
 
Hekaya za gudume gwa mbegu zinaendelea [emoji2][emoji2][emoji16][emoji1][emoji3]

Mm napendaga stori zako za miaka ileee naona sku hz umekacha kabsa mkuu turudishie nondo mkUu
 
Hiyo ipo, watu wote tunaogopa simba au wanyama wakali lkn wapo watu anauwezo wa kumtazama simba au mnyama yeyote mkali na akakimbia mwenyewe.
 
Kaka polisi wanakutana na watu wa kila namnaa.

Kwa macho yangu mawili nimeshuhudia dogo katoka kupewa dhamana karudi ppale ubaoni kuchukua vitu vyake kaiba na radio cll ya polisi tena kituo kikubwa, yaan ppale pale ndo kaachiwa kapita na radio call ...alipofika huko kwao akawa naye anapokea ovar over nyingi. Sasa walioenda kumkamata huko kwa mara ya pili, aliondoka akitembea kwa miguu, alirudi anatambaa
 
Njemba inasemekana ilionekana imeshika kichupa cha mafuta ya Vaseline Mgando
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu dogo alikuwa na ujasiri wa hatari sana. .......
 
na yeye angejiandikishankama mwizi ili wafungwe wote humo gerezani hampe alichotaka kumpa
 
Nimeikumbuka ile story ya jamaa nchi za mbele alivamiwa na majambazi wawili,akawateka kisha kuwala kwa miezi 3 [emoji16][emoji16].
 
Hatari sana mwizi kaomba poo mwenyewe!!🤣🤣🤣
 
na yeye angejiandikishankama mwizi ili wafungwe wote humo gerezani hampe alichotaka kumpa
Hili wazo lilikuwa zuri ....ungemwambia hili jamaa naye angesema ni mwizi huwa wanaiba wote....walikuwa wanakimbilia polisi kujisalimisha....ili wote wawekwe ndani....😂
 
Haya mambo yapo mbona, mwaka jana jamaa(mwizi) alimkodi bodaboda kutoka maeneo ya Africana kumpeleka goba akamwambia anaenda kupima madirisha ya nyumba kwenye site, Hivyo akamuomba wapite dukani wanunue tape. Safari ikaenda mpaka kwenye hyo site wakafika jamaa akashuka akazunguka nyuma Mara akamuita yule bodaboda aje kumsaidia kuishika futi, aisee kilichotokea tulikuja kumsaidia bodaboda pumzi ishakata jamaa kamkaba anadai ni ndg yake kaugua ukichaa, huku tayali pkpk ishasogezwa na wezi wenzie tuliweza kumuokoa na kuokoa boda yake ,kilichofata mwizi rumande siku 2 Kisha mtaani daaaa!!!
 
Alipomtupia simu aliokota au aliacha ichukuliwe na mwizi mwingine? Ni story nzuri ya kuchekesha. Jamaa alitoa wapi wazo la kusema ni ndugu yake ila kichwa chake kipo mbele dakika chache?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…