Mwizi ataka na kusisitiza awekwe Korokoni sababu hana imani na atakachofanywa na aliyemwibia

Alipomtupia simu aliokota au aliacha ichukuliwe na mwizi mwingine? Ni story nzuri ya kuchekesha. Jamaa alitoa wapi wazo la kusema ni ndugu yake ila kichwa chake kipo mbele dakika chache?

Aliiokota ila akaendelea kumfukuza mwizi kimya kimya ....😂😂😂
 
ATM ya bank gan ambayo inaruhusu kutoa 1.5M kwa mara moja?
 
Huna adabu kabisa.
Niko kwenye Kosta naelekea Arusha, kila abiria ana majonzi Kama vile anakata vitunguu huku Mimi nacheka Kama mwehu.
Mama mmoja nimesikia kabisa akimuambia mwenzie kwamba Mimi Ni mchawi kisa nacheka wakati watu Wana majonzi.
 
Da walimu wastaafu bana
 
Da huyo hatare
 
Kw nn alitoka
 
Huu ndo uongo uliokithiri. Hapo benk hakuna polisi?
 
We kweli kolo naona umejiweka na wewe kwenye stori ambayo baba zetu walikuwa wanasimuliana
 
Sukari imokolea na hiliki ila naomba na andazi au bajia nitafunie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…