Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
Masuala ya kuibiana ni uhuni wa kishamba kila la heri Mungu akutangulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaàh umechelewa.!Pole..... Joseee nimekaa katika kiti chako kwa muda hapa
Mbinu utakayoitumia katika kuwashughulikia hao wezi ikifanikiwa uilete na huku kwa wasiojulikana nao tuwakomesheLet it go!
HahahahKWANGU MI WALIKULA HADI KIPORO
Una uhakika anaweza project kama hizi? Yule sio maneno matupu yule?Pole sana mtafute mshana jr
You wrongly quoted my post! But no harm anyway!Mbinu utakayoitumia katika kuwashughulikia hao wezi ikifanikiwa uilete na huku kwa wasiojulikana nao tuwakomeshe
Aanze upya kutafuta vyeti? Means aanze tena nursery hadi chuo? Umesoma kweli bandiko vizur?Unawekeza kwa mwizi? vitu vinatafutwa anza upya muachie Mungu wako ,isije ikawa unaongeza hasara juu ya hasara
Ooh! Sorry mkuu it was a mistakeYou wrongly quoted my post! But no harm anyway!
Wakati unafurahia (unajipanga) kukalia nafasi yake, tayari mwenzako anakupumulia chini...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] duuh...asee...jamaa sidhani kama ana muda wa kula huyu...!!Pole..... Joseee nimekaa katika kiti chako kwa muda hapa
Kila la heri ila kuwa makini