Mwizi kaniibia kila kitu nyumbani mwangu, nimeamua kuwekeza kila kitu nimshughulikie

Ni PM Umpe kichaa kuanzia Ndugu zake mpaka yeye,hilo ndiyo tego,wanaudhi sana hawa jamaa
 
pole sana ila maelezo yako yanachekesha sana
 
Mwachie Mungu usitende dhambi mkuu
 
Wizi wa namna ulikuwa wa kizamani sana,siku za karibuni umerudi kwa kasi ya kimbunga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…