Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Hapa mtaani kuna mwizi sugu ameshinda mil.10 za bahati nasibu ya biko ??.
Alipoulizwa atafanya nini na hela nyingi hizo
Akasema anataka kupanua shughuli zake. Mimi sijamuelewa na sasa hivi watu wameanza kuhama mtaa…
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app