Mwizi Wa Sufuria Kanifanya Mbaya

Mwizi Wa Sufuria Kanifanya Mbaya

Waziri Mayai Wa Maradhi

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
409
Reaction score
98
Jameni, wizi nayo ni wizi, lakini kuna wizi zingine zina maswali. 😭😂

Unaingia kwa nyumba ya mtu, unaiba masufuria zote, pans zote, halafu unaondoka na mayai pia?

Sasa hiyo ni nini? Ulikuwa unaniibia ama ulikuwa unafanya kitchen shopping?

Hata moja hukuacha? Not even ile sufuria ya zamani ya kupikia chai? Hakuna hata ka pan ya kukaanga kitunguu?

Wadau, mimi nimekubali kushindwa kwa sasa. Naomba mchango wa masufuria. Mkiwa na za ziada, tafadhali nikumbukeni. Hata moja itanisaidia kuanza upya.

Unaiba aje masufuria na mayai surely? Hata mwizi anafaa kuwa na boundaries jameni!
Kilomeee
 
Back
Top Bottom