Mwl anaetaka kuja jiji Mwanza tuwasiliane

Mwl anaetaka kuja jiji Mwanza tuwasiliane

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
895
Reaction score
571
Kama upo idara ya sekondari na unataka kuja jiji Mwanza (Nyamagana) pamba tuwasiliane. Nahitaji kwenda moja kati ya halmashauri zifuatazo: Ilala, Kinondoni, Temeke, Kibaha, Bagamoyo au Morogoro. Simu: 0756 808875 au 0784 821973
 
Back
Top Bottom