Gogoz atakuwa kafungua darasa la tuisheni anakula mtonyo tu.Hata hivyo,arudi jukwaani.😂😂😂Popote ulipo pokea salaam,rudi kwenye kituo chako cha kazi🤣🤣🤣
Kambi ni popote mkuu uwalimu ni wito
Yupo anasahihisha mitihani ya nusu muhula (Terminal examinations), kuandaa report za matokeo, na majukumu mengineyo, ametingwa sana na kazi. Shule zikifungwa mtamuoma hapa Kwa kasi ile ile, na kejeli zake zile zile.Yupo kimya sana.