Mwl. Mpwayunga village

Mwl. Mpwayunga village

Mpwayungu where are you? Long time sizaona nyuzi zako
 
Mpwayungu Village madeni yamemuelemea, kausha damu wanainyemelea roho yake.
 
Huwezi kudhalilisha walimu namna ile ukabaki salama, jamaa yupo online anapita kimyakimya.
 
Yupo kimya sana.
Yupo anasahihisha mitihani ya nusu muhula (Terminal examinations), kuandaa report za matokeo, na majukumu mengineyo, ametingwa sana na kazi. Shule zikifungwa mtamuoma hapa Kwa kasi ile ile, na kejeli zake zile zile.
 
Back
Top Bottom