Mwl mwenzangu anataka mume

pm me please am serious cos nataka wife! mengi zaidi tutaongea pm! uyole is ma home.
 
Duuuh miaka 28 mwalimu wa shule ya msingi! Waalimu wakuu si watakuwa wameshamtafuna mpaka amebakia makapi tu......
Anyway ngoja waje.....
 
post nyingine hopeless kabisa.....sasa hivi kale kausemi kwamba mke/mme mwema anatoka kwa Bwana hakapo tena sasa hivi hata JF inatoa mme/mke mwema
Kwani JF haina bwana ndani yake? Au JF ni gwnge la mashetwani? Tutake radhi mkuu....
 
Weka picha yake Tuone kama inafaa
 
Duuuh miaka 28 mwalimu wa shule ya msingi! Waalimu wakuu si watakuwa wameshamtafuna mpaka amebakia makapi tu......
Anyway ngoja waje.....
we mbona tangazo la kitambo sana hili,alishaposwa mwenzio.wanajf wengine wanamalengo kweli.ukimtaka ambaye bado hajatafunwa labda umuoe binti yako wa kumzaa
 
Kwa hiyo wewe umeoa binti yako?
 
Nisaidie kumuuliza mwalimu kama ANAFUGA CHURAAAA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…