Mwl mwenzangu anataka mume

Mwl mwenzangu anataka mume

Salama jamani,

Nisiwe mnafki japo mwenyewe niliweka tangazo humu kutaka mume lakini niliochat nao hatukuwahi fikia muhafaka ila baadae Mungu alinijaalia nikampata mwanaume katika mazingira ya face to face.

Bado nina iman mpo mlioserious ni mwl yupo Mbeya Uyole ana 28 hajawai zaa she is a Ngoni one primary school teacher maji ya kunde kuelekea weupe mrefu wastani ila kwenye ufupi hayumo mpole sana mambo mengine mtaulizana.

Samahani jamani yupo serious sana.

Naomba pm msije na utaniutani jamani plz.
Je mnahitaji awe na vyeti?
 
0713 IPO salama [emoji23] [emoji23] tuanzie hapa kwanza
 
Mimi niko tayari kwa hilo lakini siko tayari kuishi Mbeya mimi niko Zanzibar vipi ataridhika kwa hilo?
 
Inamaana huyu atakuwa bado hajaolewa kweli au kuwa kwenye mahusiano tayari? Maana post ya muda hii
 
alafu hana nia ya kuolewa huyo labda kama atakuwa tayari kapata cos waoaji wana m pm bt no reply!
 
Yule alishapata na kuchumbiwa ila kuna mwl mwingine anataka kuolewa na mwanaume asiyetaka kuzaa tena na ana mtoto mmoja huyu mwl
 
Salama jamani,

Nisiwe mnafki japo mwenyewe niliweka tangazo humu kutaka mume lakini niliochat nao hatukuwahi fikia muhafaka ila baadae Mungu alinijaalia nikampata mwanaume katika mazingira ya face to face.

Bado nina iman mpo mlioserious ni mwl yupo Mbeya Uyole ana 28 hajawai zaa she is a Ngoni one primary school teacher maji ya kunde kuelekea weupe mrefu wastani ila kwenye ufupi hayumo mpole sana mambo mengine mtaulizana.

Samahani jamani yupo serious sana.

Naomba pm msije na utaniutani jamani plz.
Mwambie aje PM
 
Miaka minne sasa atakuwa bado yuko single
 
Back
Top Bottom