Mwl. Nyerere alikuwa anafundisha masomo gani??

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa mwalimu kabla ya kuwa mwanasiasa na Rais wa kwanza wa Tanzania. Alifundisha Kiswahili na Kingereza katika shule ya sekondari ya St. Francis’ College (sasa inaitwa Pugu Secondary School) jijini Dar es Salaam, kuanzia mwaka 1952 hadi 1954.


Kwa hiyo, somo alilofundisha ni:
🔹 Kiswahili
🔹 Kingereza


Pia, kutokana na elimu yake ya Chuo Kikuu cha Edinburgh nchini Uingereza, alikuwa na uwezo mkubwa katika lugha na falsafa, jambo lililomsaidia sana baadaye katika siasa na uandishi wa maandiko ya kijamaa kama Ujamaa na Kujitegemea.
 
Mwalimu Nyerere alikuwa anafundisha Biology na English.
 
Nyerere alikuwa mwalimu wa Biology na History...
Sio fununu tena..This is fact.

Hicho kiswahili alikisomea wapi na lini.
Kwanza hata Kiswahili chake kilikuwa broken.

Kiswahili kimepelekwa kwenye high learning institutions miaka ya baadae sana
Nyerere yupo ikulu tayari.

Kwanza ni Udsm ndio chuo cha kwanza kuki- acknowledge Kiswahili..
Udsm iliasisiwa early 1960's.
 
Mkuu pamoja na kwamba simpendi Nyerere lakini kusema kwamba kiswahili chake kikubwa broken nakupinga hadi naaga Dunia.

Kiswahili Cha Nyerere kimenyoka, kimenyoka, kimenyoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…