Mwl.Nyerere alilia machozi nyumbani kwa Malecela

Mwl.Nyerere alilia machozi nyumbani kwa Malecela

Walikuwa Majirani; Kina Mwele walipokuwa Wadogo MSASANI na Unajua Malecela alifiwa na MKWEWE; In a sense he was a SINGLE PARENT... Sasa labda NYERERE alilia kwa FURAHA kuona hao watoto waliofiwa na MAMA yao WAKIWA BADO wadogo na ni wa KIKE wameweza kuendelea na kwenda SHULE...

Kumbuka Baada ya Mama yao KUFARIKI; First Born wake kwa JINA SENYAGWA pia alifariki kwa Ajali ya Gari Pale St. Peters kwenye kile kimlima kidogo...

So, it was kinda REMORSE to the family...

There yu are, you are very right. Nasikitika kwamba mleta mada ana fikra chafu kabisa kuhusiana na ubinadamu wa mwalimu Nyerere. Yeye anadhani mwalimu alitaka watu waishi maisha duni na ndiyo ubinadamu alioutaka, ..., a very poor line of thinking about Nyerere wangu!
 
There yu are, you are very right. Nasikitika kwamba mleta mada ana fikra chafu kabisa kuhusiana na ubinadamu wa mwalimu Nyerere. Yeye anadhani mwalimu alitaka watu waishi maisha duni na ndiyo ubinadamu alioutaka, ..., a very poor line of thinking about Nyerere wangu!

Na Hajui kuwa pia Watoto wa MALECELE walisoma ELIMU ya TANZANIA hadi JKT na kwenda MUHIMBILI kupata Degree za kwanza za MEDICINE na Masters wengi wanapelekwa nje na serikali ya TANZANIA

Hawakukimbia JKT kama waliopewa hizo privileges na Viongozi wa nchi wengine baada ya NYERERE...


c.c
Bubu Msemaovyo, Shamwile and Original SAGANKA
 
Kwa hiyo Nyerere alikuwa jirani na Malecela siku nyingi, Malecela waziri wake wa siku nyingi, lakini hakuwajua hao watoto wa Malecela mpaka ikabidi atambulishwe?

Watoto walikuwa mtoni
 
Nikikumbuka mzee wngu aliyekata tamaa ya kulipa ada ya shule ya kutokana kuwa yatima lakn kwa utawala wa Nyerere aliweza kufanikiwa kwenye elimu.
Mwaka 1999 alitoa chozi mbele yngu na akanihadithia yote na kusema yule mzee alikuwa na mapenzi mema na nchi yke ila mfumo haukuweza kuleta matokeo chanya kwa muda mrefu na ndivyo ujamaa ulivyo.
Mpaka leo hii namkumbuka Nyerere kama alikuwa Rais aliyejali wananchi wake kokote ulipo mzee mimi bado nakukubali.
 
kama watoto wenyewe ni kina le mutuz nyerere ali bugi step
 
Back
Top Bottom