Bora umejibu mkongwe maana watu wanapenda kuwasemasema kama vile hampo.Makongoro amemshinda yule jamaa katika kinyang'anyiro cha ubunge wa E A Sasa unataka watoto wa Mwalimu wawe na elimu kiasi gani?
Walikuwa Majirani; Kina Mwele walipokuwa Wadogo MSASANI na Unajua Malecela alifiwa na MKWEWE; In a sense he was a SINGLE PARENT... Sasa labda NYERERE alilia kwa FURAHA kuona hao watoto waliofiwa na MAMA yao WAKIWA BADO wadogo na ni wa KIKE wameweza kuendelea na kwenda SHULE...
Kumbuka Baada ya Mama yao KUFARIKI; First Born wake kwa JINA SENYAGWA pia alifariki kwa Ajali ya Gari Pale St. Peters kwenye kile kimlima kidogo...
So, it was kinda REMORSE to the family...
There yu are, you are very right. Nasikitika kwamba mleta mada ana fikra chafu kabisa kuhusiana na ubinadamu wa mwalimu Nyerere. Yeye anadhani mwalimu alitaka watu waishi maisha duni na ndiyo ubinadamu alioutaka, ..., a very poor line of thinking about Nyerere wangu!
Kwa hiyo Nyerere alikuwa jirani na Malecela siku nyingi, Malecela waziri wake wa siku nyingi, lakini hakuwajua hao watoto wa Malecela mpaka ikabidi atambulishwe?