Mwl Nyerere alisema anaweza kumwita mtu mjinga lakini si mpumbavu

Mwl Nyerere alisema anaweza kumwita mtu mjinga lakini si mpumbavu

Dah, mkubwa umenifurahisha sana.... Kuna mwana bongo fleva mmoja ameimba MATUSI YA KISWAHILI YANAUMA KULIKO YA KIINGLISHI... We hebu cheki, ingekuwaje kama ile faki yuu ya Serukamba angeisema kwa kiswahili? Mle bungeni nina uhakika Spika angemtoa nje...... Hebu hata wewe itamke hiyo Serukamba kimya kimya halafu tafakari na uchukue hatua.... USICHEKE

'kweli aisee hebu fikiria kama hili jina GAY kwa kiswahili mtu akwite MS*ENGE si mnaweza kugombana aisee,sorry MODZ sijamtukana mtu jamani ni tuko kwenye mifano hai aisee kama huyo jamaa hapo juu kasema fakyuu ni moja kati ya mifano MODZ,SORRY'
 
Mbona hujamnukuu sehemu alipokuwa anakemea watu kujisifu kwa ukabila,udini,mkoa,uzawa.Alisema, "watu wazima mnaongea mambo ya kipumbavu namna hii?" au unadhani ni wewe tu uliyewahi kuiona/kuisikia hiyo hotuba?
 
Nyerere hakua msahafu! Hayo yalikua mawazo yake tu! Ila upumbavu wa praimumisita unabaki palepale!
 
:disapointed: Jioni hii ITV imerusha hotuba ya baba wa taifa Mwl Julius K Nyerere na moja ya maneno aliyosema ni kwamba anaweza kumwita mtu mjinga kwa lugha ya kimombo ''illiterate'' lakina hawezi kumwita mpumbavu kwa lugha ya kigeni ''stupid" Kwa wale wanaosema Mh Pinda kuitwa Mpumbavu sio tusi basi waelewe Mwl alitutoka miaka 15 iliyopita na kwa busara zake alijua kwamba kumwita mwenzio stupid si heshima kama wanaosema mpumbavu ni sifa ya mtu. Haiwezekani kwa mfano umwite baba yako mzazi stupid halafu umwambie hiyo ni sifa yake. ''Mod nakuomba usiondoe hii thread kwa kuwa itasaidia wanachama kujua yapi yaliyo maneno ya matusi na yapi yasiyo. Wacha watu wachangie''

Mpumbavu sio tusi na heshima hailazimishwi, asiye jiheshimu haheshimiki. Kauli za Pinda ni za kipumbavu na kwa maana hiyo anayezitoa ni mpumbavu...
 
Dah, mkubwa umenifurahisha sana.... Kuna mwana bongo fleva mmoja ameimba MATUSI YA KISWAHILI YANAUMA KULIKO YA KIINGLISHI... We hebu cheki, ingekuwaje kama ile faki yuu ya Serukamba angeisema kwa kiswahili? Mle bungeni nina uhakika Spika angemtoa nje...... Hebu hata wewe itamke hiyo Serukamba kimya kimya halafu tafakari na uchukue hatua.... USICHEKE
hahahahahaha, imebidi nicheke tu aisee.
 
mjinga si tusi na pia mpumbv si tusi pia haya maneno yana maana moja kwanamna flan
 
-------- hata umtwange pamoja na mahindi kwenye Kinu upumbavu wake hautamtoka. Hivyo basi; huyo -------- wenu mtaendelea kumtwanga humu jukwaani lakini upumbavu wake hautamtoka hadi kaburini.
 
We dogo ebu ficha upumbavu wako,jkt upo intake ipi? Tangu mwl atangulie kumbe ni miaka 15 tayari? Mwalimu wako wa hesabu alikuwa nani?
Kama ni 15 ina maana alifariki 2003 usahihi ni kuwa ni takribani miaka19 kasoro miezi minne.Aliyeandika hivi sio mpumbavu wala mjinga ila mkono umeteleza kama ulimi unavyo teleza si busara kukandiana hapa tupeane mawazo
 
Back
Top Bottom