Mwl Nyerere alisema anaweza kumwita mtu mjinga lakini si mpumbavu


'kweli aisee hebu fikiria kama hili jina GAY kwa kiswahili mtu akwite MS*ENGE si mnaweza kugombana aisee,sorry MODZ sijamtukana mtu jamani ni tuko kwenye mifano hai aisee kama huyo jamaa hapo juu kasema fakyuu ni moja kati ya mifano MODZ,SORRY'
 
Mbona hujamnukuu sehemu alipokuwa anakemea watu kujisifu kwa ukabila,udini,mkoa,uzawa.Alisema, "watu wazima mnaongea mambo ya kipumbavu namna hii?" au unadhani ni wewe tu uliyewahi kuiona/kuisikia hiyo hotuba?
 
Nyerere hakua msahafu! Hayo yalikua mawazo yake tu! Ila upumbavu wa praimumisita unabaki palepale!
 

Mpumbavu sio tusi na heshima hailazimishwi, asiye jiheshimu haheshimiki. Kauli za Pinda ni za kipumbavu na kwa maana hiyo anayezitoa ni mpumbavu...
 
hahahahahaha, imebidi nicheke tu aisee.
 
mjinga si tusi na pia mpumbv si tusi pia haya maneno yana maana moja kwanamna flan
 
-------- hata umtwange pamoja na mahindi kwenye Kinu upumbavu wake hautamtoka. Hivyo basi; huyo -------- wenu mtaendelea kumtwanga humu jukwaani lakini upumbavu wake hautamtoka hadi kaburini.
 
We dogo ebu ficha upumbavu wako,jkt upo intake ipi? Tangu mwl atangulie kumbe ni miaka 15 tayari? Mwalimu wako wa hesabu alikuwa nani?
Kama ni 15 ina maana alifariki 2003 usahihi ni kuwa ni takribani miaka19 kasoro miezi minne.Aliyeandika hivi sio mpumbavu wala mjinga ila mkono umeteleza kama ulimi unavyo teleza si busara kukandiana hapa tupeane mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…