Mwl Nyerere anabaki kua Baba wa Taifa, huenda LISSU akawa Mandela wa Taifa hili !!

Hatari sana. Hapa kuna mshirikina wa taifa
 
Kakaa selo miezi saba tu tayari mnamlinganisha na Mandela aliyekaa selo miaka 21?
Lissu ni haini kitanzi kinamhusu huyu kibaraka wa mabeberu!!
 

..kitendo cha TL kupigwa marisasi lakini bado ameendelea na misimamo yake kwa kweli kinamuweka ktk daraja tofauti kabisa la watetezi na wapigania haki duniani.
 
Risasi zilipiga gari yake sio mwili wake, kama kweli yeye ni mwamba wa Risasi tumlenge moja tu ya kifuani kama hatakufa?

..risasi zingepiga gari tu, TL asingetibiwa miaka 3, na kupata ulemavu.

..TL amebarikiwa moyo wa ujasiri. Na amesoma, na kuelimika vizuri. Ukilikataa hilo utakuwa na matatizo binafsi.
 
Huyo Lissu simjui
Ila nyerere ni mpumbavu mmoja alietutia umasiki wa kutupwa
Alikabidhiwa nchi ina uchumi mkubwa kuzidi South Korea, halafu akaigeuza kuwa kati ya nchi masikini duniani.
 
Lissu anaenda kuwa Rais wa pili wa Taifa la Tanganyika baada ya Nyerere. Hiki ndicho ninacho kifahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…