Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
| Université Julius Nyerere de Kankan | |
| Established | 1968 |
|---|---|
| Location | Kankan , Guinea |
| Website | www.ujnk.org |
Mkuu Sam, mataifa makubwa watu wake wakati mwingine wanakua na ignorance ya habari za nje ya nchi zao inayotokana na arrogance ya ukubwa wao. Maranyingi kujifunza habari na taarifa za vinchi masikini kama vyetu huwa ni nadra sana isipokua labda kujua kuna rasilimali gani ziko upande huu wa dunia ambapo wanaweza kuja "kuzichukua"Kitu nilichokifahamu baada ya kutembea huko duniani na mpaka leo najiuliza why ni kuwa nje ya Afrika tena ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara Nyerere hafahamiki kabisaaaa. Niliwahi kuwa China nikajaribu kudodosa kuhusu Nyerere yani hajulikani ila Tanzania wanaijua. Ukitaka kunielewa kwanini wanaijua Tanzania ni kuwa kila nilipokuwa nikitua viwanja vya ndege vya Beijing na Pudong lazima niwekwe lockup kwa muda nikiwa uhamiaji.