Mwl Nyerere: Hata mimi walinambia using'atuke nchi bado inakutegemea, nikaja jua kumbe nchi ni familia zao, hawana uhakika na ajira zao nikiondoka

Mtake msitake.

Hapa itaitishwa kura ya maoni jpm atapiga 99.99 za watu kumtaka aongozee maisha yake yote ndio utauza sana bia huko kilinyaga
Unless Nyerere hakukemea hili na Kama pia hujasoma hiyo post ya mwl Nyerere hapo juu ; juu ya wanafiki Kama nyie.
 
Labd
Chuma kimefanya vizuri tunakiongezea muda
Labda muuwe nusu ya watanzania wote amini hili halitatokea wanachofanya ni kutingisha kiberiti haitaruhusiwa kuijaribu katiba Wala kulitia taifa majaribuni.Over my deadbody.
 
Unless Nyerere hakukemea hili na Kama pia hujasoma hiyo post ya mwl Nyerere hapo juu ; juu ya wanafiki Kama nyie.
Hivi nyerere anatawala kutokea makaburini?
 
Unless Nyerere hakukemea hili na Kama pia hujasoma hiyo post ya mwl Nyerere hapo juu ; juu ya wanafiki Kama nyie.
Hivi hamjui kuwa hakuna rais alichukiwa kama Nyerere
 
Hivi hamjui kuwa hakuna rais alichukiwa kama nyerere
Zama zimebadilika shaurianeni muongeze hata wiki moja ndio mtawaelewa watanzania maana Kama hamtaki kuheshimu sheria tulizojiwekea Kama taifa hamuwezi kuwazuia wengine wasivunje hizo sheria kila mtu anapenda raha za ikulu ili kujidhibiti tumewekeana utaratibu huo wa 5/5 basi Sasa uvunjeni muone show.
 
Nadhani hata mchakato wa kumuongezea muda huufahamu ndio maana unapiga kelele
 
Sioni hata dalili km jiwe anataka aongezewe muda after 10 yes ukimwangalia tu utajua nae kachoka anatafuta pa kutua mzigo.
 
Sioni hata dalili km jiwe anataka aongezewe muda after 10 yes, ukimwangalia tu utajua nae kachoka anatafuta pa kutua mzigo.
Lakini si mlimsikia mbunge Kessy aivyosema, kuwa hata kama JPM hataki kujiongezea muda wa kutawala, wao CCM watamlazimisha?

Kauli iliyoungwa mkono kwa asilimia 100 na Ndugai na kunena kuwa hilo watalipitisha baada ya kurudi Bungeni baada ya uchaguzi huu wa mwisho wa mwaka huu!
 
Sikuwahi kuiona hii habari yenye busara tupu kama ilivyotegemewa kutoka kwa huyo mzee.

Huyu Kessy kuna kitu kichwani mwake hakiko sawa.

Najaribu kutafuta kitu kinachompa msukumo wa kuongea hovyo hovyo, bado sikioni.

Ingekuwa swala la kuteuliwa, mbona kasahaulika miaka yote hii? Bila shaka wateuzi wanamjua vizuri ndio sababu hawamteui.

Inawezekana hapa anatumia karata yake ya mwisho wamwone kuwa yupo?
 
Hivi hamjui kuwa hakuna rais alichukiwa kama nyerere
Kwa hiyo wewe ndiye mjuaji pekee?
Tukuzawadie nini?

Nakumbuka, huwa napuuza maandishi yako humu; lakini imenilazimu nisikupuuze kwa hili.
 
Ni wewe Ally Kessy na mwenzako Job Ndugai, tumewasikia vizuri sana, ila nawahakikishia kuwa Rais Magufuli hataongezewa muda hata dk 10 tu.
iacheni Tanzania Kama ilivyo, narudia tena haitawezekana hata iweje,
Nothing is impossible under the sun.
P
 
Naelewa hofu yako na pengine naisapoti dhamira yako ya kutaka, kuomba na kutamani hili jambo lisitokee

Lakini kila dalili inaonyesha kua hakuna namna likaacha kufanikiwa kama ilivyokusudiwa. Hakuna sauti itakayopazwa kuping au kukemea hili kwasababu muhusika(wahusika?) wanachanga na kucheza karata zao vzuri

Muda utakapofika kuna sauti hazitosikika kwa sababu umri utakua hauziruhusu tena. Kuna sauti zitakua zimeogopa kusikika na zitakaa kimya na zitakazopaza sauti kupinga zitakua chaache sana. Wanalijua hilo na kwa taarifa yako kama ni cinema ujue imeshaanza
 
Hata Mkapa kamchoka huyo dikteta na anajua fika kama kuna Tume huru ya Uchaguzi HAKATIZI NG'O

 

Attachments

  • ERFcWLLW4AIVOAq.jpg
    104.5 KB · Views: 1
Boss My Son drink water Wana Deep ... Ila Nia yao ndio hiyo ....

Iwapo Mh. Rais amedhubuti kwa baadhi ya Issue ila mimi siungi Mkono Hoja wa kumwongezea Muda.


 
Mi naamini viongozi wa awamu hii sio wanaccm kabisa!!ni imposter kutoka nje ya nchi!hakuna mwanaccm atathubutu kusema hayo mnayoyasikia!!
 
"Kila nilipokuwa nikitaka kung'atuka walikuwa wakiniambia: 'Mwalimu endelea tu, hii nchi ni changa na umeitoa mbali. Nchi hii haitaendelea bila wewe'. Nami niliiendelea hadi pale nilipokuja kugundua kumbe nchi changa waliyoiongelea ni familia zao, na hazitaendelea bila mimi kuwepo madarakani, maana walikuwa hawana uhakika kama Rais ajaye atawaacha katika nafasi walizokuwa nazo." - Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…