Wengi zaidi ni wajinga wasiopenda kutumia kabisa ubongo wao, na ndio wanaowapa kichwa hao "Wengi" wanaotumwa na Magu mwenyewe!Wengi wanaoshabikia kuongeza muda wa madaraka ya JPM Wana hofu zao na familia zao. Hivi JPM akimaliza madaraka yake itakuwaje kwa Ndugai, Bashite, Kale Man, two lia...nk yaani Ni hofu imewajaa kutokana na matendo yao. Watahama nchi.
Kama kweli viongozi wetu wanadai wanamuenzi mwalimu J.K. Nyerere. Wamuenzi kwa vitendo.
MatagaLikichwa la habari leefu
Kama hata maana halina
Yani uonekane tu umeanzisha mada
Mtateseka sana na bado
waliotumbuliwa ni wachache sana kuliko wanaoenelea kudunda na vteo vua kuteuliwaIla watu wanaroho ngumu sana,yani mbele ya mzee magu mtu awe na matumaini ya kutokutumbuliwa ?
"MAGUFULI ALAZIMISHWE, ATAKE ASITAKE, AONGEZE MUDA WA URAIS" - KEISSYwaliotumbuliwa ni wachache sana kuliko wanaoenelea kudunda na vteo vua kuteuliwa
Huyu ana chuki binafsi na mwalimu, mwalimu alikuwa binadamu na kama binadamu alikuwa na mapungufu yake lakini ukilinganisha mapungufu na mema yake akiwa madarakani mema yalizidi mapungufu yake.Kama angekuwepo tusingepata rais wa aina hii na ingetokea tunapata angetoka waziwazi na kumkemea na sio kunyamaza kama tunavyoona yanayotokea sasa hiviBadala ya kujadili hoja aliyoisema Nyerere wewe unamjadili Nyerere kama Nyerere kwa hisia zako tu kama vile upo faragha kwa mpenzi wako! Naona ujinga hauondolewi kwa kuhudhuria darasani
Hiyo chuki yako dhidi ya Nyerere utakufa nayo jinga wewe
Sent using Jamii Forums mobile app