hebu specify huo ualimu mnaouzungumzia maana nina ndugu yangu mwalimu anakula 2.5 per month sasa msitaje tu mwalimu !!!!!!!!!!!!semeni ualimu ganikweli babu...."point"...ualimu na upolisi ndo kimbilio lao hao failures!!!
ikumbukwe wahadhiri wa vyuo sio waalimu by proffession bali ni watu waliofanya vizuri kwenye field zao though wanafundisha.
Huna taaluma yeyote kuna reference mbili za direction katika karatasi hiyo,ungekuwa na taaluma ungetumia mojawapo. Eti g, nikimpa swali hili form two atafanya assumption ya g. Kama una elimu jibu swali la kwanza tu, unithibitishie, acha siasa
Sikukuelewa kwenye sentensi yako ya mwisho; ila mimi kwa uzoefu wangu ninaweza kuelewa iwapo mtu akitoka chuo kikuu akaja kufundisha sekondari kwa mara ya kwanza anaweza akaomba msaada wa watu wenye uzoefu kwa sababu wengi wao wanakuwa hawajui level kamili ya kuanzisha mawasiliano na wanafunzi wao, na labda namna ya kuelezea concepts wanazotaka kufundihsa kwa lugha inayoeleweka kwa wanafunzi. Kwa hiyo watu hao kuomba msaada kutoka kwa waalimu wenye uzoefu ni jambo la kawaida sana; hata katika taaluma nyingine, uzoefu unahitajika. Zamani sana wakati sisi tungali tunasoma, waalimu walikuwa wanapelekwa field kwa jumla ya miezi kama sita hivi ili wapate uzoefu kabla hawajapata vyeti vyao vya ualimu, na wale wa kutoka chuo kikuu walikuwa wanaongeza term moja vyuoni kujifunza uzoefu wa kuhandle wanafunzi na madarasa watakyofundisha.Ahsante kaka.Mimi ni mwl wa Physics na Math mwenye DIPLOMA.Wanaotoka Vyuo vikuu wakija kuanza kazi za kufundisha Maths wanashindwa.Mpaka wanaomba msaada.Akaombe kuwa DAKTARI,MHASIBU,POLISI.n.k.Wote wanaomsuport wanasahau wamefundishwa na qualified teacher?
kudos kichuguu! Head teacher you are too pompous, be humble! Kichuguu seem to be much knowledgeable and humble
Usilete kujifanya kujua wakati unapoambiwa ukweli; ungekuwa mwalimu mwenye busara unatakiwa kupokea critiques kwa moyo mkunjufu na kuzifanyia kazi, lakini wewe unaleta ubishi. Nitakurudisha shule ya particle mechanics kama ifuatavyo
(a) Katika elementary mechanics kuna reference tatu (x,y,z), lakini orientation angles zake yaani theta_x, theta_y na theta_z inaweza kuwa na value yoyote. Kwa hiyo x-y-z axes hazina fixed directions. Katika advanced mechanics, kuna an infinite number of axes, na huwa zinakuwa defined kama R^n where n can be any integer. Kwa hiyo madai yako kuwa kuna reference mbili ni kuonyesha ufinyu wako katika somo hilo. Ingawa najua kuwa swali lako lilikuwa constrained katika plane ya karatasi ambayo ni 2-D, bado hujaspecify orientation ya axes zako, na wala maswali yenyewe hayakusema hivyo, ndiyo maana nikakuonya kuwa unakaribisha majibu mengi ambayo utashindwa kuyakana. Kama mwalimu mzuri unapotoa mtihani jitahid kuwa specific kusudi uwe na uhakika wa kupata jibu moja uniformly.
(b) Kudai kuwa mwanafunzi wa form two atafanya assumption ya g ndiko kunawakosesha elimu pana watoto wetu kwani nyie mnawafundisha kukariri kuwa g ni 10m/s^2 wakati siyo kweli. Value halisi ya g ni (GMe/R_e^2) wakati G ni universal gravitational constant, M_e ni mass of earth and R_e ni distance from the center of earth. Kwa vile R_e inabadilika kulingana na kina kutoka usawa wa bahari na vile vile kulingana na latitude (kwa vile dunia ni oval), huwezi kumkaririsha mtoto kuwa g=10 m/s^2 ukadai kuwa unajua. Experiment ikifanyikia Njombe kwenye nyanda za juu, haiwezi kuleta matokeo sawa na yale ya Dar es Salaam kwenye usawa wa bahari. Ni kawaida kwenye mitihani kuweka statement kuwa assume the value of g to be 9.81m/s^ au 10m/s^2; ulitakiwa ufanye hivyo ili kuzuia ambiguity kwenye mtihani wako.
(c) Baada ya somo hilo fupi, nitakuonyesha kuwa maswali yako mengi yana makosa hata kama mtu ungeamini kuwa value ya g=10m/s^2. Kwa mfano swali la 3 unatakiwa upate 8tan(theta)-tan^2(theta)-4=0, siyo kama wewe ulivyoweka. Na vile vile swali la 7, the modulus of elasticity siyo force; kwa hiyo huwezi kuipima katika Newtons, badala yake inapimwa kwa N/m. Katika swali hilo hilo la 7, unatakiwa upate v^2=64+20x-48x^2 siyo kama wewe ulivyoweka. Lugha iliyotumika katika maswali yako mengi ina ambiguities nyingi ambazo hutakiwi kuzionyesha kwa watahiniwa wako, ukizingatia kuwa wana time constraints, kwa hiyo hawawezi kupoteza muda wao wakifikiria swali lina maana gani wakati wanatakwaiwa wajibu swali lao kabla muda wa mtihani haujaisha.
Samahani kwa kuandika kwa kirefu hivyo; umenichokonoa mwenyewe. Unfortunately inaonekana kama vile huu ni mtihani uliowahi kutolewa kwa wanafunzi wetu katika shule mojawapo nchini, na inawezekana kuna wanafunzi walioambiwa kuwa wamafeli wakati maswali yenyewe yana mapungufu namna hiyo.
...........afadhali hiyo itakusaidia kwa vile huna ubavu wa kujadiliana na mimi katika field yoyote ya Phyiscs. Hata hivyo, nakushauri ukasahihise hayo maswali machache niliyokuambia kuwa yana makosa kwa faida ya wanafunzi wako, hata kama itakuwa inaumiza ego yako; hii ni kwa faida ya wanafunzi.Kwa kifupi, nakupuuza
kweli babu...."point"...ualimu na upolisi ndo kimbilio lao hao failures!!!
...........afadhali hiyo itakusaidia kwa vile huna ubavu wa kujadiliana na mimi katika field yoyote ya Phyiscs. Hata hivyo, nakushauri ukasahihise hayo maswali machache niliyokuambia kuwa yana makosa kwa faida ya wanafunzi wako, hata kama itakuwa inaumiza ego yako; hii ni kwa faida ya wanafunzi.
(a) Katika elementary mechanics kuna reference tatu (x,y,z), lakini orientation angles zake yaani theta_x, theta_y na theta_z inaweza kuwa na value yoyote. Kwa hiyo x-y-z axes hazina fixed directions.
(a) Katika elementary mechanics kuna reference tatu (x,y,z), lakini orientation angles zake yaani theta_x, theta_y na theta_z inaweza kuwa na value yoyote. Kwa hiyo x-y-z axes hazina fixed directions.
KICHUGUU, hujui unaloliandika, unajua maana ya hiyo elementary mechanics, nipe branch mbili nianze kukutoa ujinga
umeshindwa kutofautisha kati ya acceleration due to gravity na gravitational field strength!! ndio utaijua physics. Ok katika formula yako ya g=GM/r[SUP]2 [/SUP]nipe experiment moja ya kuverify G
Elementary mechanics ni zile hatua za mwanzo mwanzo za Classical Newtonian Mechanics kulingana na maswali yako uliyoweka hapo ambayo hayahitaji hata Lagrangian Mechanics; ukitaka twende ndani zaidi ya hapo niko tayari tuongee.KICHUGUU, hujui unaloliandika, unajua maana ya hiyo elementary mechanics, nipe branch mbili nianze kukutoa ujinga
...........afadhali hiyo itakusaidia kwa vile huna ubavu wa kujadiliana na mimi katika field yoyote ya Phyiscs. Hata hivyo, nakushauri ukasahihise hayo maswali machache niliyokuambia kuwa yana makosa kwa faida ya wanafunzi wako, hata kama itakuwa inaumiza ego yako; hii ni kwa faida ya wanafunzi.
Kichuguu, hujui hata tofauti kati ya modulus of elasticity na elastic constant. Unafahamu hookes' law na limitation yake. Kwa taarifa F= k. e, k=elastic constant, e=extension. For extensible strings, whch dont obey hookes law F = (K/L) e, K=modulus of elesticity. Pitia pitia notes mtaalamu wa Physics, usidanganye vijana