MWL wa Math na Physics

We sema tu ni mweupe nitakuelewa, si kudanganya.

Kuna aina ya watu ambao wana tabia ya kutokukubalia udhaifu wao hata wakiambiwaje; hilo ninalielewa sana katika psychology, ila nitajitahidi sana kukusaida ujue yale usiyojua hata kama ni against ego yako.
 
 

Na wewe ni mwalimu wa Phyiscs?
Kama ni mwalimu wa Phyiscs huenda utakuwa unafahamu tofauti ya quantities hizi EA, EI na EJ. Hiyo unayoongea wewe \lambda ni EA. Google term hiyo "Modulus of Elasticity" au soma vitabu mbalimbali vya Solid Mechanics au Continuum Mechanics utapata jibu sahihi. Sina uhakika kitabu ulichonipa link yake kiliandikwa na mtu mwenye upeo upi katika field hii kwa vile hakikufunguka kwangu. Una haki ya kukubaliana nami au kuachana nami, ila nina uhakika na ninachoongea; mimi ni mwalimu wa siku nyingi sana kwenye field hii.
 

Maswali ya form I yamekukamata mtu na degree yako ya UDSM? Follow the given instructions no alterations are allowed!
 
 
Kilaza
 
 

KWA maelezo yako g = GM/r[SUP]2[/SUP] ndio acceleration due to gravitysio?
 
Kichuguu nmekupa test yenye full instructions tena kiingreza chake kimenyoka si kama nilitunga mtihani mwingine ule. Kwa kuwa wewe ni Mwanafizikia wa Daraja la kwanza tena unayeijua vizuri elementary particle mechanics huu ndio wanja wako bro/sister
View attachment KICHUGUU JIBU HUU WA FORM 5.pdf
 


...ha ha ha ha ha!! Si kweli kaka,si kila anaefundisha ni mwalimu!! na wala si kila anaetaka kufundisha Hesabu akashindwa basi hajui!! Knowing Mathematics is one thing and being able to let one understand Maths as u do is another!!!!! Being good at Mathematics starts from Within,si kila aliyesoma Hesabu basi anafaa kuwa mwalimu wa Hesabu!! Wengine hata sio walimu na hatuna taaluma hiyo ila tunagombewa na Headmasters!!! Watch out brothers!!
 

Nisubiri nitakuja kujibu maswali yoyote ya maana ila sitajibu upuuzi au ubishi usiokuwa na maana. kama una mswali ambayo huna uhakika nayo kuhusu mitihani unayowapa wanafunzi wako nitakusaidia kuyasahihisha . Sasa hivi niko najiandanaa na mkutano wa experimental mechanics na ukihitaji nitakuletea copy ya proceedings kwenye DVD. Fuatilia link hii kuangalia mada tutkazoeengea kwenye mkutano huo).
 
Mwanzo wa yote ni mtu kutafuta kazi ya ualimu jf.....
😀
 
Kuna jamaa hapo juu kadai eti wanaofundisha vyuo vikuu siyo walimu. Amejitahidi kusema namna wanavyopatikana ila naona anakosa maarifa mapana.Kama anakaa karibu na Dar AU DODOMA au MOROGORO fika Idara ya Physics, Hesabu. Ukawaulize walisoma nini kwenye undergraduate na Msc, PhD zao. Mmi mwenyewe ni one of them na nilisoma Bsc Education na walimu wangu ni Prof. Masawe, Dr. Kakiko, Dr, Rugeihyamu, Prof. Msaki, Dr.Makundi, Dr. Kainkwa;Dr. Koleleni, Dr. Samiji na Wengineo na sas nimeungana nao ktk kazi ya Uhadhiri. Uhadhiri ni Ualimu ktk Advanced Level. Ni kweli si wote wahadhiri walisomgemeana na field. Au labda mtu aseme baadhi ya walimu walipata marks ndogo wakati wakiwa sekondari japo hata ktk fani zingine wapo pia vilaza wengi maana sis tunaofundisha Hesabu hata kwa Mainjinia na wengineo japo hesabu zingine mara nyingine ni Basic ndo tunashuhudia walivyo wagumu wa kuelewa .Tuacheni kudharau Taaluma za watu hasa kama huijui kwa undani wake hiyo taaluma.
 
Na waliofaulu au ma genius wanakimbilia wapi? Ikulu? nini!! Nasikia marais na wabunge wote ni magenius, ni kweli?!

Albert Eistein kweli alikua ticha mkali nyie wenzangu na mimi vilaza tu...mnaungaunga tu hauchi kunakucha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…