Teh! teh ! teh!
Wewe kumbe ni bure kabisa kwa vile inelekea hujui theories nyingi unazotaka kuzitumia. In this case, theory ya elasticity; nitakusaidia.
katika elastic region, Hookes Law inasema kuwa stress is linearly proportional to strain, na constant of proportionality inajulikana kama youngs modulus au Modulus of elasticity (E). Kwa vile stress= F/A na strain= e/l, ndipo tunapata
F/A=Ee/l ambazo ukizichanganya unaishia kupata
F=(EA/l) e
Kwa hiyo elastic constant au stiffness constant k ni (EA/l). Value ya k ndiyo inayotakiwa katika maswali ya kinetics of particles. Kama ulikuwa umetoa E,ni lazima ulitakiwa utoe cross section ya hiyo wire yako (A) kusudi wanafunzi wako waweze kutafuta value ya k.
Kwa materials ambazo hazi-obey Hooke's law, zinajulikana kuwa na nonlinear stifness, ni lazim u-specify namna ambavyo k inavyohusiana na extension (e), kwa mfano k=2e
Ndugu yangu kichuguu naona unaijua kweli physics lakini kwenye hili naona kuna shida, for elastic string relationship btn T and x is
where T-tension, modulus of elasticity ,x is etension and l is natural length.Kwa maelezo zaidi unaweza kutembelea hapa, au Kasome kitabu hiki Physics for A-level by L. Bostock and S. Chandler page 185.