Mwombaji hifadhi wa kwanza apelekwa Rwanda baada ya kukubali kwa hiari kuondoka Uingereza. Apewa Pauni 3,000 (Tsh milioni 9.6)

Akili mavi, unakwenda kwa dictator of the century unadhani uko salama. Rubbish!
 
Wanya Rwanda=palestina
Israel=asylum seeker
Tujiandae na genocide hahah huwa yanajirudia
 
Rwanda yenyewe ndogo kwahio hao wageni wao pia ni wageni wetu....; Nadhani tuendelee na utaratibu wa mkimbizi atakapokimbilia ndio aendelee kuwepo na sio kuwa-ship somewhere else..., na kwa pesa hizo tutegemee asylums ambao ni economically motivated
Kagame hapa anaitumia hii fursa kubadili mfumo wa ukabila na kubaguana! Wakichanyana hivi biashara ya hawa watusi hawa wahutu ndani ya miaka kumi ijayo Itapungua na itapotea miaka inavyokwenda! Ni tactic nzuri! Wachanganye damu mila itapendeza
 
Kagame hapa anaitumia hii fursa kubadili mfumo wa ukabila na kubaguana! Wakichanyana hivi biashara ya hawa watusi hawa wahutu ndani ya miaka kumi ijayo Itapungua na itapotea miaka inavyokwenda! Ni tactic nzuri! Wachanganye damu mila itapendeza
Hapo ukienda unakuwa third citizen and if that (uwezekano mkubwa wewe unakuwa mtu wa kambini) hakuna mtu atakupa mtoto wake wewe utakuwa kama wakuja tu....

Muti-race is possible multicultural is impossible ni kuleta chuki na kuchukiana vijitabia vya kule huku vinaweza vikawa kero.... Third generation ya hawa wahamiaji hawatakubali kubaguliwa watataka equal opportunities ndio hapo panachafuka...., Nimeona UK (Pakistan na Somalians) kwa wazawa kuwachukia na wenyewe kuuliza kwanini na sisi hapa ni nyumbani na tunapaswa kupata haki zote (hence hatreds between so called wazawa na immigrants Paki's)
 
Nia ya moyo wa mtu no ngumu kuijua! Ninaweza kukataa kumpa mtu aoe mwanangu na ikashindikana na ndio mwanzo wakuungana familia! Kila kujaribu ni hatua, jambo lolote lisilowezekana nilile ambalo halikujaribiwa!
 
Tabia za Waswahili. Hamuachi...khaaa

Back to Rwanda issue ni hivi hao Wakimbizi hawatakaa Rwanda Kagame atawasukumia Tanzania kwenye shamba la bibi. TPDF wakae macho
kabisa hao wengi ni wanajeshi wanakuja kuvuruga ukanda huu
 
Huko Rwanda wasiende kuzaliana na kufanya maugaidi yao.
 
Duuuh mi naona kama vipi na Rwanda iwapeleke UK wanaozamia Rwanda
Kuna watu wanazamiaga hiko kijimbo? By the way ni mpango mzuri, na behind the picture there must be a mutual and beneficial agreement between Rwanda and UK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…