Mwombaji hifadhi wa kwanza apelekwa Rwanda baada ya kukubali kwa hiari kuondoka Uingereza. Apewa Pauni 3,000 (Tsh milioni 9.6)

Mwombaji hifadhi wa kwanza apelekwa Rwanda baada ya kukubali kwa hiari kuondoka Uingereza. Apewa Pauni 3,000 (Tsh milioni 9.6)

Mwombaji wa kwanza wa hifadhi amepelekwa Rwanda baada ya kukubali kwa hiari kuondoka Uingereza.

Mtu huyo ambaye hajatajwa jina amekwenda Kigali baada ya kupewa pauni 3,000 ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kuwalipa kila muomba hifadhi nchini humo atakayekubali kwenda Rwanda chini ya mpango wa hiari wa kusaidia kuondoa mrundikano wa wahamiaji ambao maombi yao bado yamekataliwa.

Mpango huu wa hiari ni tofauti na mpango wa kuwafukuza kwa nguvu watafuta hifadhi ambao Uingereza inakusudia kuanza katika miezi michache ijayo, ukilenga kuzuia wahamiaji wanaowasili kupitia Bahari ya Atlantiki ili kuishi Uingereza.

Chini ya mpango wa hiari, serikali imesema italipa waombaji hifadhi hadi pauni 3,000 ($3,747.60) kila mmoja kuhamia Rwanda ili kusaidia kuondoa msongamano wa wakimbizi waliofika nchini miaka ya hivi karibuni.

View attachment 2978201
Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak amekuwa akiutetea mpango wake wa kuwapeleka waombaji hifadhi nchini Rwanda.

=========

Britain has sent its first asylum seeker to Rwanda under a voluntary scheme, The Sun Newspaper reported on Tuesday, saying the unnamed migrant was flown out of the country on Monday.

The voluntary scheme is separate to a forced deportation programme that Britain is about to embark on in the next few months, seeking to deter asylum seekers from crossing the English Channel in small boats to live in Britain.

Under the voluntary scheme the government has said it would pay asylum seekers up to 3,000 pounds ($3,747.60) each to move to Rwanda to help clear the backlog of refugees who have arrived in the country in recent years.

This new agreement is part of an existing government policy, where asylum seekers are offered financial assistance to leave Britain for their home country, but under this plan people will get the money if they agree to live in Rwanda.

A government spokesperson said they were able to send asylum seekers to Rwanda under its migration and economic development partnership.

"This deal allows people with no immigration status in the UK to be relocated to a safe third country where they will be supported to rebuild their lives,” the spokesperson said.

Tens of thousands of people have arrived in Britain in small boats since 2018, with many fleeing war or famine and travelling through Europe to Britain.

In response, the government has spent two years trying to overcome legal and political opposition to the policy of sending asylum seekers to Rwanda, some 6,400 km (4,000 miles) away, which it hopes will act as a deterrent.
Parliament finally passed the divisive legislation last week and Prime Minister Rishi Sunak has said he expected the first flights to take off in 10 to 12 weeks.

One organisation which works with asylum seekers said on X that they were protesting outside an immigration processing centre in south London to prevent a forced removal from the building. Media reports have said authorities will start collecting people soon for the first deportation flights to Rwanda.

A British government document published on Monday showed that the first asylum seekers to be deported from Britain to Rwanda would come from a group of 5,700 people that Kigali has agreed in principle to take.

But the document suggested the government would only be able to easily detain just over 2,000 of these.

Under the forced deportation scheme, anyone who has arrived illegally after Jan. 1, 2022, is eligible to be deported to Rwanda. More than 50,000 people have arrived since that date, official figures show.

Reuters

PIA, SOMA:

- Uingereza kuwalipa wakimbizi takribani Tsh. Milioni 9 kila mmoja ili wakubali kuhamia Rwanda
Akili mavi, unakwenda kwa dictator of the century unadhani uko salama. Rubbish!
 
Wanya Rwanda=palestina
Israel=asylum seeker
Tujiandae na genocide hahah huwa yanajirudia
 
Rwanda yenyewe ndogo kwahio hao wageni wao pia ni wageni wetu....; Nadhani tuendelee na utaratibu wa mkimbizi atakapokimbilia ndio aendelee kuwepo na sio kuwa-ship somewhere else..., na kwa pesa hizo tutegemee asylums ambao ni economically motivated
Kagame hapa anaitumia hii fursa kubadili mfumo wa ukabila na kubaguana! Wakichanyana hivi biashara ya hawa watusi hawa wahutu ndani ya miaka kumi ijayo Itapungua na itapotea miaka inavyokwenda! Ni tactic nzuri! Wachanganye damu mila itapendeza
 
Kagame hapa anaitumia hii fursa kubadili mfumo wa ukabila na kubaguana! Wakichanyana hivi biashara ya hawa watusi hawa wahutu ndani ya miaka kumi ijayo Itapungua na itapotea miaka inavyokwenda! Ni tactic nzuri! Wachanganye damu mila itapendeza
Hapo ukienda unakuwa third citizen and if that (uwezekano mkubwa wewe unakuwa mtu wa kambini) hakuna mtu atakupa mtoto wake wewe utakuwa kama wakuja tu....

Muti-race is possible multicultural is impossible ni kuleta chuki na kuchukiana vijitabia vya kule huku vinaweza vikawa kero.... Third generation ya hawa wahamiaji hawatakubali kubaguliwa watataka equal opportunities ndio hapo panachafuka...., Nimeona UK (Pakistan na Somalians) kwa wazawa kuwachukia na wenyewe kuuliza kwanini na sisi hapa ni nyumbani na tunapaswa kupata haki zote (hence hatreds between so called wazawa na immigrants Paki's)
 
Nia ya moyo wa mtu no ngumu kuijua! Ninaweza kukataa kumpa mtu aoe mwanangu na ikashindikana na ndio mwanzo wakuungana familia! Kila kujaribu ni hatua, jambo lolote lisilowezekana nilile ambalo halikujaribiwa!
 
Tabia za Waswahili. Hamuachi...khaaa

Back to Rwanda issue ni hivi hao Wakimbizi hawatakaa Rwanda Kagame atawasukumia Tanzania kwenye shamba la bibi. TPDF wakae macho
kabisa hao wengi ni wanajeshi wanakuja kuvuruga ukanda huu
 
Huko Rwanda wasiende kuzaliana na kufanya maugaidi yao.
 
Duuuh mi naona kama vipi na Rwanda iwapeleke UK wanaozamia Rwanda
Kuna watu wanazamiaga hiko kijimbo? By the way ni mpango mzuri, na behind the picture there must be a mutual and beneficial agreement between Rwanda and UK.
 
Back
Top Bottom