Hapana mid napenda sana ku-log kwenye naniliyuinaonekana hesabu za log ulikua kinara sana
Upo Vizuri sana nduguSwala na Fonex
[emoji122][emoji122][emoji122]Mwanamke pekee ninayeweza kumwomba hata mia ni mama tu.
Hongereni walughalughaSwala na Fonex
"Ukilog off" bado message unaziona[emoji849]Mkuu usawa unakaba wanawake wengine wana huruma sana
Nalog off
Santeeeeee,kesho nitakuomba weweMe ningekupa kiroho safii
Naomba 1000/=Me ningekupa kiroho safii
Hapana sizioni mkuu"Ukilog off" bado message unaziona[emoji849]
Watu wa programming ndio wanaelewa hivi vituFour dimension array!
Atakupa tu wala usijaliNaomba 1000/=
Wazee wa kuhack hongereni nyie ni vichwaWatu wa programming ndio wanaelewa hivi vitu
Nasubiria hilo buku langu hapaAtakupa tu wala usijali
Nalog off
Safi sana we endelea kusubiria tuNasubiria hilo buku langu hapa
Si mpk sasa tukutane kwenye gariNaomba 1000/=
Kesho tukikutana kwa gari niombeSanteeeeee,kesho nitakuomba wewe
Nalog off
Mkuu unajua wewe ni HB sana ...... Avatar haidanganyiNiko kwenye bus narudi zangu home mida hii na nitashuka manzese muda si mrefu,bus zima kimya nikaona ngoja nianze zogo,nikamwomba buku mrembo niliyekaa naye kiti kimoja,majibu aliyonipa ndio haya; taratibu we baba tuheshimiane,yaani we dume zima unaniomba mie mtoto wa kike buku!yaani nisuguliwe huko halafu nije nikupe buku tu hivihivi?
Bus zima wakaanza kunicheka,hebu na wewe mwombe buku abiria mwenzio halafu utuletee na majibu yake.
Nalog off
Kumbe unasugulisha papuchi ili kupata riziki mkuu?Kumbe ni wewe?
Tena shika adabu kuniomba omba hela.
nincompoop ...!Kumbe unasugulisha papuchi ili kupata riziki mkuu?
Kkkkkk santeeeeeeMkuu unajua wewe ni HB sana ...... Avatar haidanganyi