Mwombe 1000 uliyekaa naye seat moja kwenye bus

Mwombe 1000 uliyekaa naye seat moja kwenye bus

Niko kwenye bus narudi zangu home mida hii na nitashuka manzese muda si mrefu,bus zima kimya nikaona ngoja nianze zogo,nikamwomba buku mrembo niliyekaa naye kiti kimoja,majibu aliyonipa ndio haya; taratibu we baba tuheshimiane,yaani we dume zima unaniomba mie mtoto wa kike buku!yaani nisuguliwe huko halafu nije nikupe buku tu hivihivi?
Bus zima wakaanza kunicheka,hebu na wewe mwombe buku abiria mwenzio halafu utuletee na majibu yake.
Nalog off
Mkuu unajua wewe ni HB sana ...... Avatar haidanganyi
 
Back
Top Bottom