Mwonekano mpya wa JECHA na updates zake


Upo uwezekano wa JF kufungiwa kama itaendelea kumchezea 'Head of state'
 
NIKIWAAMBIA CCM UOVU UMEONDOA UFAHAMU WAO MNAKATAAGA.
 
Jecha anatakiwa na timu saba za ulaya kwa ajili ya ugolkipa maana hata goliblikiingiavanaweza kulifuta .baca .madrid.manU .asenal bayarn .chelsea na psg
 
Hahaha smack the fool that disagree with the pedigree.
 
Ha ha ha eti gwiji mwandishi una mchokonoa Mr Jecha mwenyewe kisha maliza kazi yake
 
siku moja nilipotea njia nikaingia choo cha kike, wakati nataka ghafla kugeuza kurudi, dada mmoja aliniambia huku akiwa anavua nguo badala ya kuvaa, "kaka usirudi hii ni bahati yako".
Sikujua bahati gani
Kondom ulikuwa nazo? Siku nyingine ukiwa baa uwe nayo mfukoni kama hapo unaivaa unamaliza kazi
 
Nasikia Jecha kasimamisha sikukuu ya Pasaka Zanzibari mpaka atakapochaguliwa makamo wa kwanza Zanzibari?
 
Ha ha ha! bahati ya kupatiwa maambukizi ya bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…