Mwonekano Mpya wa Mr. Blue Byser

Mwonekano Mpya wa Mr. Blue Byser

View attachment 2636814
aka Bayser hana habari anakula upepo wa bahari
Screenshot_20200706-192939_Gallery.jpeg
 
Sasa 2003 ndevu alikuwa nazo?

Bora tu kila mtu aishi maisha yake, na wala Mr Blue siyo wa kusema amezeeka hivi kwamba tuseme mwonekano wake hauendani na umri wake.
Yuko sawa tu hajatoka kwenye kundi.
Maana Kuna wenzie wanatoka na vigauni vya pink.
Kwahiyo yuko sawa tu.
Kwani sasahivi mr blue ana mdevu?
 
Back
Top Bottom