Sasa 2003 ndevu alikuwa nazo?
Bora tu kila mtu aishi maisha yake, na wala Mr Blue siyo wa kusema amezeeka hivi kwamba tuseme mwonekano wake hauendani na umri wake.
Yuko sawa tu hajatoka kwenye kundi.
Maana Kuna wenzie wanatoka na vigauni vya pink.
Kwahiyo yuko sawa tu.