Ebu kajaribu kuifanyia make up mdoli halafu tuone kama itafanana na penny.wivu tu
Wivu wa make up, wivu wa kuchibua au wivu ganiii
Hivi we ni She Or he or Shemale
Hata kama ni make up uzuri pia unasaidia hebu paka wewe tuone kama utakuwa kama penny.
Make up hiyoooo
Na wewe paka hiyo makeup tukuone kama hutaishia kuwa kama m.p.o.t.o...unakiwanda cha majungu + wivu
hivi hiyo sidiria nyeupe ni sawa?. nahisi ingakaa njano hivi, au mi ndiyo sielewi?
Ni Penny mtangazaji wa radio pia ashawahi kuishi na Daimondo au sio ndio huyo
hivi hiyo sidiria nyeupe ni sawa?. nahisi ingakaa njano hivi, au mi ndiyo sielewi?
Frankly speaking, she is a woman enough but, is she in the Class of Wema?
View attachment 179590
View attachment 179591
View attachment 179593
View attachment 179594
nashindwaga kuuelewa uzuri wanaomwoneaga huyu binti