Mwonekano mpya wa Penny

Mwonekano mpya wa Penny

MZIMU

Wema hana uzuri wa kumzidi penny
 
Last edited by a moderator:
Kusema la ukweli hapo hamna kitu wakawaida tuu sema star basi.
 
nashindwaga kuuelewa uzuri wanaomwoneaga huyu binti

Kweli kaka? Unajua katika kujaji uzuri nadhani urijali unahitajika. Kama katika Upadirisho vile. Si nasikia Mtu asie kuwa rijali haruhusiwi kuwa Padre! Eeenhhh! Nadhani unanielewa!
 
Back
Top Bottom