Mwonekano Mpya wa Ubungo flyover baada ya kubadilishwa design ya mwanzo

Mwonekano Mpya wa Ubungo flyover baada ya kubadilishwa design ya mwanzo

Haitakuwa kubwa sana.Kama siku hizi tu Kuna unafuu je ikikamilika nadhani unafuu utakuwa maradufu
Haiwezi ikapungua mkuu hasa kwa wanaotokea mbezi,malori yanaelekea Mandela na hakuna njia ya kutoka moro road to Mandela road na kwa kuwa moro road ni njia mbili tu siku malori yakiwa mengi yanafunga hadi kibo
 
Back
Top Bottom