Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,404 Reaction score 10,900 Dec 1, 2019 #41 Sijijui said: kwa hiyo kule chini foleni bado itaendelea? Click to expand... Haitakuwa kubwa sana.Kama siku hizi tu Kuna unafuu je ikikamilika nadhani unafuu utakuwa maradufu
Sijijui said: kwa hiyo kule chini foleni bado itaendelea? Click to expand... Haitakuwa kubwa sana.Kama siku hizi tu Kuna unafuu je ikikamilika nadhani unafuu utakuwa maradufu
Sijijui JF-Expert Member Joined Jan 14, 2018 Posts 7,877 Reaction score 8,804 Dec 1, 2019 #42 Super Sub Steve said: Haitakuwa kubwa sana.Kama siku hizi tu Kuna unafuu je ikikamilika nadhani unafuu utakuwa maradufu Click to expand... Haiwezi ikapungua mkuu hasa kwa wanaotokea mbezi,malori yanaelekea Mandela na hakuna njia ya kutoka moro road to Mandela road na kwa kuwa moro road ni njia mbili tu siku malori yakiwa mengi yanafunga hadi kibo
Super Sub Steve said: Haitakuwa kubwa sana.Kama siku hizi tu Kuna unafuu je ikikamilika nadhani unafuu utakuwa maradufu Click to expand... Haiwezi ikapungua mkuu hasa kwa wanaotokea mbezi,malori yanaelekea Mandela na hakuna njia ya kutoka moro road to Mandela road na kwa kuwa moro road ni njia mbili tu siku malori yakiwa mengi yanafunga hadi kibo