Mwonekano wa Mipaka ya Nchi Mbali mbali

Rwanda na Uganda ukiziangalia inaonesha ni ardhi ya Tanzania. Kwanini zikawa nchi na isiwe mikoa ya Tanzania???.
 
Kuna nchi nyingine ina mipaka ya ajabu sana.
 
Rwanda na Uganda ukiziangalia inaonesha ni ardhi ya Tanzania. Kwanini zikawa nchi na isiwe mikoa ya Tanzania???.
Una mawazo kama ya Putin. Kwa nini Tanzania isiwe sehemu ya Uganda au Rwanda , kipi kinahalalisha Rwanda au Uganda ndio ziwe sehemu za Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…