MWONEKANO WA MWANAMUME WA KIBONGO.

MWONEKANO WA MWANAMUME WA KIBONGO.

Waheshimiwa wadau habari zenu???


Katika kumbukumbu zangu hivi ndivyo nakumbuka tulivyowahi kuambiawa na mwalimu wetu wa Biology KUHUSU WANAUME WA KOBONGO [emoji2] [emoji16]
Kama kakichwa ka habari kalivyosema, majina hayo ni yafuatayo:-

1. JOHN ni mpenda sifa na ni muongo. Kamwe hawezi kukuruhusu kushika simu yake.
2. BRAYTON anapenda kulalamika wakati wote ,anapenda kubembelezwa, anaringa na anapenda kulelewa.
3. MOSES ni mkali sana na hapendi kuambiwa ukweli.
4. JOSEPH ni mcha mungu na anafanya maovu yake kwa siri sana
5. STEVE mbahiri sana na anapenda kutembea na mijimama
6. HUSSEIN anaweza kuwa na michepuko zaidi ya mitatu ndani ya nyumba moja na msijuane.
7. OMARI anapenda ubabe wa kijinga kila kitu mshindi lazima awe yeye.
8. ROBERT anq roho mbaya na ana mkono mwepesi wa kupiga wanawake.
9. THOMAS ana hasira za karibu.
10. FRANK kwa kifupi ni mpasua kichwa ni mkorofi na hapendi marafiki wa kiume wa demu wake ila ni muhongaji mzuri.
11. FREDI ana kupindukia na muda wote hukaa kumchunguza mpenzi wake.
12. RAYMOND ana upendo wa dhati tatizo lake Ghubu.
13. SULEMANI muda wote yupo busy lakini hana hela.
14. RICHARD ugomvi wake hauishi Anapenda kukumbushia makosa tq zamani. Anapenda kumpigia simu mpenzi wake mara kwa mara ,kwa siku anaweza kupiga hata mara kumi.
15. SUDI ana upendo wa dhati ila tatizo akiachana na mwanamke lazima aende kutangaza madhaifu yake kwa watu.
16. EMMANUEL mpole ila an tabia za ubinafsi. Akikosea hapendo kuomba msamaha.
17. GERALD anapenda sifa za kijinga.
18. ADOLF hajui mwanamke mwenye sifa gani anamtaka.
19. ABEL kila kitu anakijua yeye Hapendi kuelekezwa.
20. OBEID msiri sana na hapendi kumwambia mpenzi wake mambo yake ya kimaendeleo.
21. OTHUMANI mpole ila siku akikasirika mbingu zitapasuka.
22. NELSON ana mbwembwe sana ila hajui mapenzi.
23. PAUL anapenda kutoa ahadi zisizokamilika.
24. HABIBU ana maneno mengi.
25. ALLY ana tabia za kiswahili sana na anapenda kumlinganisha mpenzi wake wa zamani na wa sasa.
26. FELIX mtulivu lakini ana majivuno.
27. RAMADHANI mchafu mpaka chumbani kwake.
28. RAPHAEL ana kiburi cha asili, anapenda kubishana hata kwa kitu kidogo.
29. HASSAN ni mtaratibu na anaweza kuachana na mwanamke bila hata kumwambia.
30. ADAM ni mcheshi mbele za watu ila akiwa na mpenzi wake ananuna bila sababu.
31. ERIK kila mkikutana anataka mfanye mapenzi, Mlevi na anapenda kutongoza shemeji zake
32. WILSON anapenda kusikilizwa yeye tu.
33. ANDREW ni mwaminifu sana ila akikuchoka utajuta kumfahamu.
34. HAMISI anapenda ugomvi wakati mwingine bila sababu.
35. DERICK ni zuzu na anapenda sifa sana akiona watu.
36. SHEDRACK hawezi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi mitatu.
37. ISAAC hajivunii mwanamke yeyote aliyenae.
38. MUDI ana maneno matamu ila nyuma ya pazia ana michepuko kibao.
39. IBRAHIMU ana hasira za karibu ila akipewa penzi tu hasira zote zinaisha, anaanza kujichekeshachekesha.
40. JUMA haishiwi sababu na hakuna swali analokosa jibu, ni mjanja sana.
41. JAMES hamjali mpenzi wake kwa lolote.
42. BENI ni mlevi na anapenda sifa ila kitandani yuko vizuri.
43. GEORGE anapenda kuabudiwa na hapendi kukosolewa.
44. DEO kila mwanamke anamuahidi atamuoa.
45. JOACKIM ana maneno mengi ila sio mtekelezaji.
46. SAMWELI hawezi kukuruhusu kwenda kwake bila taarifa.
47. JULIUS anapenda rafiki na ndugu zake kuliko mpenzi wake.
48. DANIEL ni mrahisi kuahidi kitu hata kama hana uwezo nacho.
49. GILBERT anaonyesha upendo siku tu akipewa pesa au mapenzi ama kitu chochote chenye thamani
50. NICK hapendi kuzungumzia vitu vya maendeleo, yeye ni fashion tu Hela yake inaishia kwenye kununua nguo.
  

KAMA UNA MAJINA ZAIDI YENYE MAANA LUKUKI UNAWEZA UKAONGEZEA!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Daneyodry he?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom