Kuna clip niliwahi kuisikia ya mh Rais wakati akiwa makamu wa Rais akieleza jinsi alivyopitia hatua mbalimbali mpaka kufika alipokuwa.
Moja ya Jambo ktk maongezi yake alilosema ni kuwa kabla ya kwenda kugombea jimbo la Makunduchi, Zanzibar kama mbunge wa jimbo uvaazi wake (dressing code) ulikuwa ni wa kizungu. Nakumbuka anatania kwenye ile clip kwamba ilikuwa ni masuruali, na manywele mpaka huko.
Anasema ni wananchi ndo walimshauri avae kiutamaduni (Kizanzibar hasa) nadhani mantiki ikiwa ni kumfanya akubalike kwenye ile jamii yake.
Na kweli kwa kuvaa vile anaonekana yuko vizuri sana.
Ushauri wangu ni nyongeza tu kwamba kama alivyoshauriwa huko nyuma, hata Sasa naona bado mantiki ipo kwamba, wakati anavaa kizungukizungu pia wakati huu itapendeza Sana. Hivyo basi dressing code ya mheshimiwa ikiwa versatile (mchanganyiko) itakuwa nzuri zaidi (Kwa maoni yangu).
Kwa wataalamu wa mwonekano(presentableness) tayari Rais naturally ni presentable, hivyo akiongeza mwonekano tofautitofauti wa uvaaji, siyo tu kwamba ataonekana anavutia bali ushawishi (influence) itaongezeka kwa makundi tofauti tofauti ya kijamii.
Vinginevyo nampongeza Rais wangu. She is quite composed and humane looking.
I can't wait to seeing my president, if this can happen, being versatile in dressing code.
Wasalaam.
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Bila shaka atapata mshonaji mzuri atamsaidia mama kuvaa.
Wabongo ni noma Sana[emoji23][emoji23]Wananchi[emoji23]
Kuna clip niliwahi kuisikia ya mh Rais wakati akiwa makamu wa Rais akieleza jinsi alivyopitia hatua mbalimbali mpaka kufika alipokuwa.
Moja ya Jambo ktk maongezi yake alilosema ni kuwa kabla ya kwenda kugombea jimbo la Makunduchi, Zanzibar kama mbunge wa jimbo uvaazi wake (dressing code) ulikuwa ni wa kizungu. Nakumbuka anatania kwenye ile clip kwamba ilikuwa ni masuruali, na manywele mpaka huko.
Anasema ni wananchi ndo walimshauri avae kiutamaduni (Kizanzibar hasa) nadhani mantiki ikiwa ni kumfanya akubalike kwenye ile jamii yake.
Na kweli kwa kuvaa vile anaonekana yuko vizuri sana.
Ushauri wangu ni nyongeza tu kwamba kama alivyoshauriwa huko nyuma, hata Sasa naona bado mantiki ipo kwamba, wakati anavaa kizungukizungu pia wakati huu itapendeza Sana. Hivyo basi dressing code ya mheshimiwa ikiwa versatile (mchanganyiko) itakuwa nzuri zaidi (Kwa maoni yangu).
Kwa wataalamu wa mwonekano(presentableness) tayari Rais naturally ni presentable, hivyo akiongeza mwonekano tofautitofauti wa uvaaji, siyo tu kwamba ataonekana anavutia bali ushawishi (influence) itaongezeka kwa makundi tofauti tofauti ya kijamii.
Vinginevyo nampongeza Rais wangu. She is quite composed and humane looking.
I can't wait to seeing my president, if this can happen, being versatile in dressing code.
Wasalaam.
Siku moja moja awe anatoka na vazi la kuogelea. ni ushauri tu, au mnaonaje wanajamvi?
La hasha! sisi tumefarijika sana ila hao wanaomtembeza mama bila Barakoa ndio wenye nia mbayaNajua watu vichwa vinawauma samia kuwa rais.
La hasha! sisi tumefarijika sana ila hao wanaomtembeza mama bila Barakoa ndio wenye nia mbaya
Kusema ukweli tungependa Raisi wa kuchaguliwa kihalali na Watanzania wala sio unafikiKwani na huyo akiondoka kuna ubaya?.
Au mnampenda sana?.
"MAISHA BILA UNAFIKI HAYAENDI"
Kusema ukweli tungependa Raisi wa kuchaguliwa kihalali na Watanzania wala sio unafiki