mwoneni huyu jamaa,anahitaji ushauri

mwoneni huyu jamaa,anahitaji ushauri

Wakati alipokuwa amejaa chunusi na madoadoa uso mzima, baadhi (kwenye magazeti) walisema anatia kinyaa, mchafu, hajipendi wakati ana pesa, sasa ameamua kuukarabati uso wake hili nalo limekuwa issue!!!!!! Huwezi kutoa chunusi na madoa usoni bila kutumia cream/vipodozi.....na kama alikuwa katika uigizaji basi kujipamba ni kawaida yao mbona baadhi ya wanaume wengi wanatumia hata powder?
 
Kanumba-suraWEB.jpg

rastaman.jpg

...sio wote tunaofagilia usela bana!...​
sio wote ambao hawajatumia vipodoa wako kama ras babu unaweza ukawa handsome fresh kiaina bila mipoowder kibao kama mshkaji babu,acha poda piko,wanja,lip shiner yote hiyo nini dume zima?halafu salon aliyoenda nayo poa yaani cheki sura hapo mirangirangi aaargh!
 
kupauka uso au kuwa mchafu mchafu sio dalili ya uanaume vijana....jamaa anapaka mafuta anang'ara tatizo liko wapi?

YoYO punguza kujichubua na kunyoa nyusi na kutumia lipstick! LOL

Au unataka kujikana?
 
wabongo bana, ovyooo sasa ukiwa msafi unaambiwa yoyoo,ukiwa si msafi kwa sana unaitwa msela ,kaazi kweli
 
sio wote ambao hawajatumia vipodoa wako kama ras babu unaweza ukawa handsome fresh kiaina bila mipoowder kibao kama mshkaji babu,acha poda piko,wanja,lip shiner yote hiyo nini dume zima?halafu salon aliyoenda nayo poa yaani cheki sura hapo mirangirangi aaargh!

...dah, babu kijana ni mtaalamu wa vipodozi nini?

Kumbukeni jamaa hapo alikuwa kazini, (acting movies)...naye si wa kwanza kupakwa vipodozi kuzuia reflections za taa wakati wa shooting;

hata wanaoonekana wazee wa shoka wanafanya/waliyafanya hayo enzi zile wanajenga majina;

Dr Dre, enzi zake na vikorombweze tele usoni...

eddie-murphy-raw.jpg
 
wabongo bana, ovyooo sasa ukiwa msafi unaambiwa yoyoo,ukiwa si msafi kwa sana unaitwa msela ,kaazi kweli

Mkuu usafi watu hatukatai lakini usipitilize ukiwa kama huyu chini hapa lazima tukukanye unaweza ishia kupakatwa.

Kwa hiyo huyu nae ni msafi au kajichubua?
 
Back
Top Bottom