Mwongozo! je inawezekana kuomba ubadilishiwe chuo ulicho chaguliwa?

Mwongozo! je inawezekana kuomba ubadilishiwe chuo ulicho chaguliwa?

CASSIUS

Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
36
Reaction score
5
Ndg wana jamii kuna tetesi zinazagaa kwa kasi kuwa inawezekana ukakata rufaa ili ubadilishiwe chuo? Jamani mwenye ukweli kuhusu hili tunaomba aje na ukweli!
 
Back
Top Bottom