Hi JF, kuna mzigo mdogo nataka kutuma sumbawanga kwa kutumia bus la sumry nipeni mwongozo jinsi ya kufanya na je wanaaminika wale watu wa ofisini mwao ubungo?
Wanaaminika kwa usalama zaidi nenda ofc zao za pale mnazi mmoja.Hi JF, kuna mzigo mdogo nataka kutuma sumbawanga kwa kutumia bus la sumry nipeni mwongozo jinsi ya kufanya na je wanaaminika wale watu wa ofisini mwao ubungo?
karibu sana, nikuandalie nini?Napita tu,naelekea Lyamba LyaMfipa.
karibu sana, nikuandalie nini?
Kwani usafiri wa bus kwenda Sumbawanga(Rukwa) kutokea Dar au Arusha unachukua saa/siku ngapi na unapitia njia/mikoa ipi?
Siku mbili..Dar,Pwani,Morogoro,Iringa,Mbeya,Rukwa...muda sifahamu !!!
Ndio nini? Huku hakuna vitu vya kizungu ww hahahaah!contessa.