masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
ukioga vizuri ukapaka ka mafuta kako kazuri kadeodorant na kuhakikisha haufai nguo za plastick kama majezi haya basiiHapo kuoga two times per day napo ni kipengele mno
unakua hutoki jasho kali
yaani unanukia vizuri
pia chupi na nguo za ndani kama yanabana sana na unakaa juani ni uwanja wa kuzalisha mafangasi