masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
ukioga vizuri ukapaka ka mafuta kako kazuri kadeodorant na kuhakikisha haufai nguo za plastick kama majezi haya basiiHapo kuoga two times per day napo ni kipengele mno
kwani wanaume kwa mfano kwa sehemu kama darHiyo ni kwa wanawake lakini ufafanuzi zaidi si kuoga bali ni kujisafisha
Hasa hasa wanaoishi maeneo ya joto Kali kama DarHiyo ni kwa wanawake lakini ufafanuzi zaidi si kuoga bali ni kujisafisha
baada ya muda gani?Nyoa kwa kutumia nyembe original tuu.. Halafu usitumie wembe/shaver moja zaidi ya mara 3.. Na kila ukitumia safisha vema ikibidi kwa maji ya moto kisha tunza vizuri
Sahihi, na mbaya zaidi kwa sisi wanaume unakuta unapiga kazi kwenye jua kali, jasho kama lote alafu ukifika home mtu haogi anaishia kupiga passport sizeNa kufanya kazi za jasho
mara mbili kwa wiki??Kulingana na ukuaji wa nywele at least mara 2 kwa week
Unajua ishu hapa sio kuoga.. Kwakuwa kila mtu anajua kuoga!kwani wanaume kwa mfano kwa sehemu kama dar
au zenye mishemishe
si kawaida kuoga two times per day au??
😄hii nayo ni changamoto, wengi wanaamini kubadili nguo za ndani mara kwa mara ni kwa wanawake tu, huku kwetu mtu kuvaa boksa siku 4+ haoni tatizoNa kutobadili nguo za ndani 😂
Ndio maana nikasema inategemea na ukuaji kwakuwa zikiwa ndefu pia na usipozingatia usafi zinaweza kukuletea shidamara mbili kwa wiki??
hapana sio afya
atleast 2-3 times a month
au kulingana na ukuaji
kwa papuchi nilizoziona kwenye connection nyingi zinasulubiwa na viwembe kwa sababu ni platform za marejesho
ila kama anaepatembelea ni mmoja
haina shida
hivi 2 times in a week?
jinsi ambayo inazalisha ile hali ya u cactus two days bada ya kunyoa inadumu kama 3-4 days
na watu ndo mmezoea kila siku kilimo
hiyo haifai
sahihiUnajua ishu hapa sio kuoga.. Kwakuwa kila mtu anajua kuoga!
Ishu hapa ni kuzingatia usagi sehemu zenye pachupachu na mbanano kama
Kwenye makwapa
Vidole vya miguuni
Mfereji wa matako
Katikati ya mapaja kwenye maungio
Sehemu za siri hasa za wanawake
sanaaa😄hii nayo ni changamoto, wengi wanaamini kubadili nguo za ndani mara kwa mara ni kwa wanawake tu, huku kwetu mtu kuvaa boksa siku 4+ haoni tatizo
Unafanya jambo kubwa Sana litakalomfaa Sana maishani.. Wazazi wengi hatufanyi hivyo.. Pengine hata Mimi🤔sahihi
mimi nimeanza kumfundisha mwanangu wa kiume
jinsi ya kusafisha sehemu hizo
unajua elimu ya kujisafisha wazazi huwa hawatoi wa watoto...
ndo maana unakuta mtu mzima kabisa kijana wa kwenda ila ananuka kweli
wenzetu wako tofauti
wanaongea mambo kwa uwazi sana
mi nakumbuka wakati navunja ungo sikuwah mwambia mama yangu... maana hamna utamaduni wa kuongea vitu hivyo
so kwa kweli mimi nimevunja hiyo cycle
nawafundiaha wanangu namna ya kujisafisha na kuwauliza mara kwa mara kama kuna sehem inawasha...inauma and so on
Ni tabia tu ya uchafu hakuna kingine, ijapokuwa hata kwa wanawake wapo ambao nao kwenye usafi ni changamoto wengine hata 2 days wanaenda bila kubadilisanaaa
hivi kwanini boxa hambadili
wakati sisi ukioga lazima ubadili
unajua kamekua kama ka utamaduni kenu🥹😆
😄huku kwetu mtu kuvaa boksa siku 4+ haoni tatizo 🥺🥺🥺😀🙌🏿