Mwongozo Kamili: Chanzo, Kinga, na Tiba ya Harufu Mbaya Sehemu za Siri

Umesahau kwa akina mama kuchanganya shahawa za wanaume tofauti tofauti kwa wakati mmoja huleta harufu ya kisamaki. Chunguza vyangudoa wote hata awe mzungu huwa na kiharufu hicho hata atumie marashi gani
 
Wapo watu wanaishi dar na inapita hata siku bila kuoga wanaishia kupiga passport size wapo
 
Hilo sasa tatizo! Binadamu lazima aoge akitoka kitandani na kabla ya kurudi kitandani. Hata kama hali ya hewa ni minus 20 centigrade
Wengi ni mara moja kwa siku hasa sisi wanaume labda wanawake ndo wengi wanaoga zaidi ya mara moja kwa siku tena wengine ni mpaka waingie mwezini
 
Wengi ni mara moja kwa siku hasa sisi wanaume labda wanawake ndo wengi wanaoga zaidi ya mara moja kwa siku tena wengine ni mpaka waingie mwezini
Mnapenda ku generalise sana. Mimi na familia yangu tupo wanaume na tulifunzwa kuoga mara mbili kwa siku
 
😄hii nayo ni changamoto, wengi wanaamini kubadili nguo za ndani mara kwa mara ni kwa wanawake tu, huku kwetu mtu kuvaa boksa siku 4+ haoni tatizo
Mkuu sometimes uchumi. Sio kila mtu anaweza kuwa na boksa 8 za kubadilisha kila siku ya wiki. Kadili uchumi unavyokua na mambo mengine yanaji-adjust yenyewe tu. Hauwezi kukuts mtu ana kipato kizuri halafu ana boksa mbili tu
 
Mmh... Unaweza ukawa nazo chache na bado ukazi manage kwenye usafi
 
Elimu nzuri sana hii
 
Mkuu sometimes uchumi. Sio kila mtu anaweza kuwa na boksa 8 za kubadilisha kila siku ya wiki. Kadili uchumi unavyokua na mambo mengine yanaji-adjust yenyewe tu. Hauwezi kukuts mtu ana kipato kizuri halafu ana boksa mbili tu
Inawezekana, ijapokuwa kwa wengi boksa nyingi siyo kipaumbele hata mtu mwenye uchumi mzuri anaweza kuwa na boksa chache tu tofauti na wadada ambao kufuli nyingi ni kipaumbele na wengi wana nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…