yasini abuu luqman
New Member
- Feb 17, 2015
- 4
- 0
msaada tafadhali Kwa wanafunzi wa diploma wa Bandari college ambao wanamaliza mitihani yao mwisho wa mwezi wa saba na wanataka kujiunga na ngazi ya degree ku apply kupitiya TCU ambapo wanamashaka kama matokeo yao yatakuwa tayari na kuwasilishwa TCU msaada tafadhali au mwenye uelewa tofauti hapo!!!/!/