Rejonta
Member
- Jun 1, 2013
- 44
- 16
Hellow wanajamii forum,mimi ni mhitimu wa form four mwaka jana nimepata div four 26 nina BIOLOGY-C, PHYISC-D, CHEMISTRY-C, B/MATH-D, GEOGRAPH-D, KISWAHILI-D, CIVICS-D ,ENGLISH-D na CIVICS-D,Hivyo bac nimefanya application katika chuo cha afya ili nikasome certificate ya clinical officer kwa bahati nzuri nimepata lakini tatizo kile chuo hakina full registration by nacte kina usajili wa muda tuu,je haliwezi kuwa tatizo huko mbeleni nikitaka kuendelea kwa masomo zaidi kama diploma nahata degree.tafadhali naombeni ushauri wenu.