Mwongozo na ushauri

Mwongozo na ushauri

Rejonta

Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
44
Reaction score
16
Hellow wanajamii forum,mimi ni mhitimu wa form four mwaka jana nimepata div four 26 nina BIOLOGY-C, PHYISC-D, CHEMISTRY-C, B/MATH-D, GEOGRAPH-D, KISWAHILI-D, CIVICS-D ,ENGLISH-D na CIVICS-D,Hivyo bac nimefanya application katika chuo cha afya ili nikasome certificate ya clinical officer kwa bahati nzuri nimepata lakini tatizo kile chuo hakina full registration by nacte kina usajili wa muda tuu,je haliwezi kuwa tatizo huko mbeleni nikitaka kuendelea kwa masomo zaidi kama diploma nahata degree.tafadhali naombeni ushauri wenu.
 
haa!kwanini unaanza na certificate wakati hapo unaanza na diploma sababu umescore vizuri kwenye bios na chem.
 
Back
Top Bottom