jina sio lake mkuu ni jina la aliemuuzia, ila anakadi original, vip inaweza kuleta shida ?Vyombo vilivyo chini ya cc1000 vilishafutiwa road license toka mwaka juz cha msingi ni kuangalia kadi halisi na kuandikishiana kwa pkpk ni MC hakuna den hapo kbs
Hivi wakuu kubadili jina kwenye kadi pikipiki haina deni ni shilingi ngapi?Haina shida ila ni vzr ww uibadilishe jina hy kadi iwe na jina lako bs
Kwa hiyo hata Virikuu havilipiwi road licence!Vyombo vilivyo chini ya cc1000 vilishafutiwa road license toka mwaka juz cha msingi ni kuangalia kadi halisi na kuandikishiana kwa pkpk ni MC hakuna den hapo kbs
Sawa mkuu..Hakikisha unapewa kadi ya piki piki, kadi ya piki piki iwe na jina la anaye kuuzia piki, hakikisha mnakuwa na mkataba wa mauziano kati yenu, hakikisha piki piki hiyo ina road licence ya mwaka huu, pia hakikisha piki piki hiyo haidaiwi na tra kwa sababu usipozingatia hilo unaweza kuta piki piki inadaiwa tra kiwango sawa au nusu ya bei ya mauziano.
Aina gani mkuu....Ninayo pikipiki nipm kama unahitaji
Aina gani mkuu....