ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Hivi kwa nini ukiwa masikini/mvimba macho/kapuku/pangu pakavu,unakuwa unamaindi sana mambo yasiyokuhusu na yasiyokusaidia.
Au hiyo tabia huanziaga kwenye ubongo wa mtu?
Toa maoni bila chuki hata kama na wewe ni walewale,usijali sikusemi wewe
Au hiyo tabia huanziaga kwenye ubongo wa mtu?
Toa maoni bila chuki hata kama na wewe ni walewale,usijali sikusemi wewe