Mwongozo tafadhali

Mwongozo tafadhali

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Hivi kwa nini ukiwa masikini/mvimba macho/kapuku/pangu pakavu,unakuwa unamaindi sana mambo yasiyokuhusu na yasiyokusaidia.
Au hiyo tabia huanziaga kwenye ubongo wa mtu?
Toa maoni bila chuki hata kama na wewe ni walewale,usijali sikusemi wewe
 
Sasa hivyo vinakusaidaije mkuu,usipoviongeza thamani. Utabaki tu kusema nina ekari kumi mimi lakini hakuna unachovuna hapo.
Sababu NI uvivi ..!! WaChina wana msemo wao!! Hivi:- Kama wewe huwezi kufanya Jambo?, Basi usimzuie mwengine kufanya hiyo kazi !!!!
Happ Sasa!!
 
Tunaita kujifunga/kufungwa fikra.

Watu wengi wasichotambua ni kuwa, dunian kuna umuhimu wa kujifunza, hasa pale utakapoona njia yako haikusaidii,

Lakini cha ajabu watu ujuaji mwngi na wanapenda hali zao.

So, hakuna haja ya kumwambia mtu usinywe gongo kupitiliza na huku yeye hataki. Unamuacha na hakuna kumsaidia, akipata shida unamchunia tu, wala sio dhambi.
 
sasa mtu akitafakari usiku wa jana hajala, anaona wewe washiba kingine anakuona ww una madem wakari arafu yeye hana uwezo wa kuwamiliki kwa maana ya kipato kwann asisikuchukie, anaanzaje kuacha kwa mfano sasa!
 
sasa mtu akitafakari usiku wa jana hajala, anaona wewe washiba kingine anakuona ww una madem wakari arafu yeye hana uwezo wa kuwamiliki kwa maana ya kipato kwann asisikuchukie, anaanzaje kuacha kwa mfano sasa!
Swala ni kama inamsaidia au inazidi kumuumiza tu.
 
Back
Top Bottom